cover image: KUANDAA NA KUTEKELEZA TAADHARI ZA MKUHUMI+ KATIKA NGAZI YA TAIFA KATIKA AFRIKA MASHARIKI - Na David M. Mwayafu & James W. Kisekka 2012

20.500.12592/ffskf9

KUANDAA NA KUTEKELEZA TAADHARI ZA MKUHUMI+ KATIKA NGAZI YA TAIFA KATIKA AFRIKA MASHARIKI - Na David M. Mwayafu & James W. Kisekka 2012

HALI NA MAENDELEO YA TAADHARI ZA MKUHUMI+ 1 Mfumo wa Taadhari za MKUHUMI+ za Benki ya Dunia 2 Taadhari za MKUHUMI+ za Mkakati wa Umoja wa Mataifa Juu ya mabadiliko ya Hali ya Tabia Nchi (UNFCCC) 3 Viwango vya Mazingira, Jamii na Bioanuwai 3 Mifumo mingine ya Taadhari za MKUHUMI+ 4 2. [...] Taadhari za MKUHUMI+ za Mkakati wa Umoja wa Mataifa Juu ya mabadiliko ya Hali ya Tabia Nchi (UNFCCC) Maongezi juu ya taadhari za MKUHUMI+ yanafanyika kama sehemu ya majadiliano katika mazungumzo ya Mkakati wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi (UNFCCC) (Herbertson, 2011). [...] Waraka wa UNFCCC unatoa wito kwa mataifa wanachama kuandaa na kutekeleza seti ya taadhari, ikiwa ni pamoja na zile zinazoshughulikia masuala ya kijamii ya utawala wa msitu, kuheshimu haki za wazawa na jamii husika, ushirikishwaji wa wadau pamoja na uimarishaji wa faida za kijamii (sanduku la 2); na kwa nchi zinazoshiriki katika mchakato wa MKUHUMI+ kuandaa mfumo wa kutoa taarifa juu ya taadhari zi. [...] Hizi ni pamoja na Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Sera ya Taifa ya Mazingira (1997), Sera ya Misitu (1998) na Sera ya Ardhi (1995). [...] Kisekka MKUHUMI+ hautawanyika haki yao ya ardhi na pia kuwanyika haki ya kupata mazao ya misitu (Gok, 2010) Tathmini ya Kimkakati ya Mazingira ya Sera ya Misitu ya Kenya ulifanyika mwaka 2005 na matokeo yake yanatarajiwa kuwa msingi tathmini za kijamii na kimazingira katika shughuri za MKUHUMI+.
Pages
16
Published in
Kampala, Uganda

Tables