cover image: AfCoDD IV - Ramani ya Dhana Kongomano la 4la Afrika kuhusu Madeni na Maendeleo (AfCoDD IV)

20.500.12592/5k9gwd0

AfCoDD IV - Ramani ya Dhana Kongomano la 4la Afrika kuhusu Madeni na Maendeleo (AfCoDD IV)

19 Aug 2024

Mbali na nafasi ya kisera yenye vikwazo, sheria za ndani na mifumo ya sera inayosimamia ukopaji na ukopeshaji haijaendana na kasi ya ongezeko la mikopo kutoka katika masoko ya mitaji ya kimataifa. [...] Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo (UNCTAD), kati ya 2010 hadi 2021, barani Afrika, malipo ya riba yameongezeka kwa 132% huku ikiathiri matumizi ya elimu, afya na uwekezaji.iv Kutokana na hayo, leo, barani Afrika, karibu nusu ya bara hilo hutumia zaidi malipo ya riba ya deni kuliko elimu, afya na uwekezaji wa umma. [...] Kutunga na kutekeleza sheria na kuanzisha mageuzi ya kitaasisi ili kuhakikisha uwezeshaji wa kiuchumi wa wanawake na vijana kupitia upatikanaji sawa wa umiliki na udhibiti wa rasilimali za kiuchumi, teknolojia na masoko, ikiwa ni pamoja na haki za ardhi, mali na urithi. [...] Utafiti na Mawazo – Nguzo hii inahusu kuchangia maarifa na mitazamo ya kitaalamu na ufeministi ya Afrika kote ya madeni, fedha za maendeleo, na mabadiliko ya kimuundo ya Afrika. [...] Wanachama wa STBc ni pamoja na Jukwaa na Mtandao wa Afrika wa Madeni na Maendeleo (AFRODAD); Mtandao wa Maendeleo ya Wanawake na Mawasiliano Afrika (FEMNET); Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi vya Kimataifa Afrika (ITUC Afrika); Muungano wa Wanasheria wa Kiafrika (PALU); Mtandao wa Haki ya Ushuru Afrika (TJNA); Shirika la Nawi – Afrifem Macroeconomics Collective (Nawi Collective); na Trust Africa.

Authors

HEZEKIEL GIKAMBI PETER

Pages
12
Published in
Zimbabwe

Table of Contents