cover image: RIPOTI YA UHAMIAJI BARANI AFRIKA - MTAZAMO TOFAUTI KUHUSU  SWALA

20.500.12592/qw1tqj

RIPOTI YA UHAMIAJI BARANI AFRIKA - MTAZAMO TOFAUTI KUHUSU SWALA

1 Nov 2021

______________________ Mradi huu umefadhiliwa na msaada wa ukarimu wa Idara ya Usalama wa Kibinadamu ya Idara ya Shirikisho ya Mambo ya nje ya Serikali ya Uswizi na , Taasisi ya Wakimbizi na Uhamiaji barani Afrika ya Serikali ya Amerika. [...] RIPOTI YA UHAMIAJI BARANI AFRIKA MTAZAMO TOFAUTI KUHUSU SWALA iii Mwisho kabisa, ninapenda kutambua ufadhili mkubwa kutoka Idara ya Usalama wa Binadamu ya Idara ya Shirikisho ya Mambo ya nje ya Serikali ya Uswizi na Ofisi ya Idadi ya Watu, Wakimbizi na Uhamiaji ya Merika ya Amerika, na ambao bila mchango wao mradi huu ungesalia kuwa ndoto tu. [...] Matarajio ya Afrika tulivu - ambapo uhamiaji unaweza kusaidia raia wake wote kufanikiwa - kama ilivyojumuishwa katika Ajenda ya Umoja wa Afrika 2063 na Ajenda ya Umoja wa Mataifa 2030 na Malengo yake ya Maendeleo Endelevu, bila shaka itategemea kauli ya nchi za Kiafrika kuiga mifumo ya sera za Umoja wa Afrika na kuzitekeleza, na usaidizi kutoka kwa mashirika yaliyo na uwezo ya Umoja wa Mataifa. [...] Mpangilio wa mazungumzo kati ya nchi ya uhamiaji Afrika Mchakato wa Uhamiaji Nchi Wanachama Maeneo kuu ya majadiliano Mpango wa Umoja katika Nchi za msingi • Uambatanishaji wa sera ya uhamiaji nchi za pembe la Afrika wanachama • Kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu na kimagendo ya dhidi ya ulanguzi wa Ethiopia, Eritrea, Misri wahamiaji binadamu na wahamiaji Sudani • Kuimarisha ulinzi na usaidizi. [...] Katika Afrika Kaskazini na Magharibi, nchi zilizo na MPs zinaweza kutumia miundo iliyopo ya kujitolea kuendelea na mazungumzo ya kitaifa juu ya takwimu ya uhamiaji na kukuza ujumuishaji wa maswala ya uhamiaji katika mikakati ya kitaifa ya maendeleo na utumiaji wa takwimu kwa sera9.
Pages
232
Published in
Ethiopia
Title in English
Africa Migration Report - A Different Perspective on the SALA [from PDF fonts]