cover image: Global Witness Report Template

20.500.12592/5dv45v3

Global Witness Report Template

4 Dec 2023

Mchakato wa fidia ulicheleweshwa sana, kwa sehemu kutokana na janga la COVID-19, pia, tarehe za makataa ziliwekwa ambazo zilizuia watu kutumia mashamba yao kwa uhuru ama kukuza mazao ya kudumu yenye faida zaidi.1 TotalEnergies iliripoti kuwa katika visa vingi fidia haijalipwa kwa sababu ya ucheleweshaji. [...] Mradi uliendelea licha ya madai ya umma ya mchakato wa utwaaji wa mashamba kwa lazima, ukiambatana na ucheleweshaji, mawasiliano duni na fidia ndogo kwa familia. [...] Kufuatia haya, mwanakandarasi huyo wa TotalEnergies alianza kujenga ua ambao ulimtenga Fred na majirani wake na pia kumtenga na choo chake. [...] TotalEnergies walikanusha kumtisha Balikenda na kusisitiza kuwa ua huo ulijengwa kwa idhini yake na kwa "usalama" wake. [...] ZS Global Witness, Green Conservers and Tasha Research Institute interviews with project-affected persons in Uganda and Tanzania; 2023.

Authors

Natascha Niebauer

Pages
26
Published in
United Kingdom