cover image: Innocenti Research Brief - UJANA SALAMA: MRADI WA NYONGEZA YA FEDHA (CASH PLUS) UNAOHUSU USTAWI NA MABADILIKO SALAMA  KWA

20.500.12592/zh4vdx

Innocenti Research Brief - UJANA SALAMA: MRADI WA NYONGEZA YA FEDHA (CASH PLUS) UNAOHUSU USTAWI NA MABADILIKO SALAMA KWA

4 May 2021

wakisaidia programu zingine katika maeneo hayo.3 Maeneo haya ni katika Halmashauri nne zilizoko katika TATHMINI Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania: Hizi ni Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na Halmashauri ya Mji wa Mafinga Ili kuelewa ufanisi wa mradi huu, tathmini ya matokeo katika Mkoa wa Iringa; Halmashauri ya Wilaya ya inaongozwa na Ofisi ya Utafiti ya UNICEF--Innocenti na Rungwe na Halmashauri. [...] Matokeo ya uchambuzi wa kitakwimu yanatokana na takwimu zilizokusanywa kutoka kwa vijana wa umri wa balehe MATOKEO YA KIPINDI CHA KATI HADI MUDA waliohojiwa wakati wa utafiti wa mwanzo na ule wa kati MREFU – ‘idadi ya washiriki’. [...] katika utafiti wa mwanzo (2017), wa katikati (2018) na wa kuhitimisha 3 (2019).5 Utafiti wa kipindi cha kati ulifanyika Elimu, ushiriki katika shughuli za kiuchumi na hamasa mara baada ya mafunzo ya ana kwa ana lakini kabla ya 5 Njia ya utafiti kwa kutumia makundi mawili tofauti ilifanyika mwaka 2017, baada ya utekelezaji wa utafiti wa mwanzo, na iligawanywa kwa PAA na vijiiji (vijiji vikubwa dhid. [...] Hakukuwa na ongezeko la idadi ya vijana wa 4 Innocenti Research Brief 2020-22 Matokeo ya utafiti wa kati yalionyesha matokeo chanya katika ufahamu kuhusu VVU na afya ya ngono, kuimarika Taarifa hii ya utafiti imeandikwa na Timu ya Tathmini kwa mitazamo chanya kuhusu usawa wa jinsia, na ya Mradi wa Ujana Salama kwa Vijana wa Umri wa ongezeko la ari katika kuendesha biashara. [...] Kwa taarifa zaidi kuhusu programu na matokeo ya utafiti wa kati, soma taarifa kamili full report: Timu ya Tathmini ya Mradi wa Ujana Salama kwa Vijana wa Balehe Tanzania, Muundo wa ‘Cash Plus’ Kuhusu Ustawi na Mabadiliko Salama yenye Afya kwa vijana: Ripoti ya Utafiti wa Kati, Ofisi ya Utafiti ya UNICEF—Innocenti, Florence, 2020.
Pages
5
Published in
Italy
Title in English
Innocenti Research Brief - SAFE PROJECT: CASH PLUS CONDITION PROVESSION AND SAFE CHANGES FOR [from PDF fonts]