cover image: Innocenti Research Brief - UJANA SALAMA: MPANGO WA NYONGEZA YA FEDHA (CASH PLUS) UNAOHUSU USTAWI NA MABADILIKO SALAMA KWA

20.500.12592/n6bhbw

Innocenti Research Brief - UJANA SALAMA: MPANGO WA NYONGEZA YA FEDHA (CASH PLUS) UNAOHUSU USTAWI NA MABADILIKO SALAMA KWA

7 May 2021

Kwa hiyo, kuwekeza katika vijana kuna matokeo muhimu katika kupunguza umaskini wa Maelezo ya picha: Kijana kutoka kaya ya walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya kurithi na kuleta ukuaji wa kiuchumi, hasa pale Maskini akishiriki katika uzinduzi rasmi wa Mpango wa nyongeza ya fedha ‘Cash unapounganishwa na Mipango mingine ya kinga ya Plus’ wa Tanzania unaohusu ustawi na mabadiliko salama kwa vijana (ji. [...] Jedwali la 1: Mada za mafunzo UJASIRIAMALI MATOKEO YA AWAMU YA 2 Ndoto na malengo Ripoti ya Awamu ya 2 ya utafiti ilionyesha kwamba, katika tatmini ya kati, baada ya vijana wa umri wa balehe Stadi za ujasiriamali walikuwa wameshapata mafunzo ya ana kwa ana ya Mipango ya biashara na utunzaji kumbukumbu majuma 12, yalipatikana matokeo chanya kuhusu ushiriki katika shughuli za kiuchumi, mitazamo c. [...] MATOKEO YA AWAMU YA 3 Masuala ya VVU, SRH na uungwaji wa huduma Matokeo ya Awamu ya 3 yalionyesha kuongezeka kwa utoaji wa huduma rafiki kwa vijana wa umri wa balehe Mradi huu umesaidia umri wa wasichana kuanza katika vituo vya afya, na pia matokeo chanya katika: kujihusisha na ngono kuongezeka kwa takribani ufahamu wa Afya ya Uzazi na ujinsia na VVU; mitazamo kwa miezi minne hivi. [...] Kuna haja ya kuendelea Uzazi najinsia/VVU, mafunzo kwa vitendo na ruzuku za kuimarisha mtandao wa rufaa na uunganishaji wa uzalishaji mali na pia uunganishwaji na huduma rafiki huduma za VVU na afya ya uzazi na ujinsia kwa vijana kwa vijana wa balehe za Afya ya Uzazi na jinsia/VVU. [...] Zaidi ya hayo, Wakati wa tathmini ya pili, mara baada ya mafunzo ya licha ya kupita muda mfupi kiasi fulani tangu kutolewa ujasiriamali na Afya ya Uzazi na ujinsia, ilibainika kuwa kwa ruzuku za uzalishaji mali na ukusanyaji wa data mradi ulikuwa na matokeo chanya kwenye viashiria vya katika Awamu ya 3, sampuli iliyochaguliwa ifuatiliwe muda mfupi, kama vile elimu ya Afya ya Uzazi na jinsia, zaidi.
Pages
6
Published in
Italy